SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Celebrities Showed Us How To Look Chic In Denim
Mitindo

Celebrities Showed Us How To Look Chic In Denim 

Watumaarufu wengi hupenda kuonekana kwenye mionekano ambayo ni ya tofauti kidogo, wengi wanapenda kuwa wa kwanza kuvaa mavazi ya aina fulani au kuonekana kwenye zile occasional looks. Lakini week iliyopita imekuwa tofauti kidogo tumewa-spot watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia denim looks ambazo hata mtu wa kawaida anaweza kuvaa japo wao wameongeza vitu vichache kuleta utofauti.

Tumewaona Happiness Magese, Wema Sepetu na Irene Uwoya wakiwa wamevalia denim look, hawa tunawaita chic look, Happiness Magese, aliongezea layered cover up, handbag pamoja na statement green pumps, Wema, alivalia white shirt akachomekea upande mmoja ( nice style trick), akamalizia muonekano wake na pumps na miwani wakati Irene Uwoya, alivalia denim yake na crop top, pumps na statement orange handbag.

Wengine ambao wao walikuwa casual chic ni Faraja Nyalandu, Mimi Mars Na Maua Sama. Faraja, alivalia suruali ya denim na white kicks akaongezea na white blazer, Mimi Mars, alikuwa kwenye blue denim ambayo ilikuwa ya aina yake kwe nyuma na oversized shirt wakati Maua alikuwa in denim on denim look.

Well hivyo ndicyo namna watu maarufu walivalia week iliyopita tuambie nani unaona style yake inaendana na yako kati ya hawa watu maarufu sita.

Related posts

4 Comments

 1. web link

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showed-us-how-to-look-chic-in-denim/ […]

 2. พนันบอล

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showed-us-how-to-look-chic-in-denim/ […]

 3. try here

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showed-us-how-to-look-chic-in-denim/ […]

 4. is psilocybin legal in denver

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showed-us-how-to-look-chic-in-denim/ […]

Comments are closed.