Ni msimu wa mapumziko ambapo sikukuu kama Christmas na mwaka mpya zipo around the corner, msimu huu kunakuwaga na sherehe nyingi zikiwepo harusi, part za hapa na pale za kufungia mwaka. Lakini pia katika msimu huu watu wengi hupenda kutumia rangi nyekundu iwe katika mavazi au decoration nyumbani mwao, hata santa anaaminika kuwa anavaa rangi nyekundu.
Well watu maarufu mbalimbali kutoka Tanzania wameonekana wakiwa katika mavazi ya rangi hii tukaona sio mbaya kama tukiwaletea mavazi yao yawe inspiration katika mtoko wako ujao.
Pat Aika na Mwanamitindo Tausi likokola wanatuonyesha namna ambavyo unaweza kuvaa long red dress yenye slit, wote wakiwa wamemalizia mionekano yao na viatu vyekundu “this remind of the song lady in red”
Nancy Sumari Na Fahyma wao walikua in sequin red dress ambapo Nancy yeye yake ilikuwa off shoulder wakati Fahyma yeye alikuwa in a dramatic red sequin dress
well ni matumaini yetu umepata ideas ya namna ambavyo unaweza kuvaa nguo yako nyekundu katika msimu huu wa mapumziko.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showing-us-how-to-wear-red-on-this-holiday-season/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showing-us-how-to-wear-red-on-this-holiday-season/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 66718 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showing-us-how-to-wear-red-on-this-holiday-season/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 73845 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-showing-us-how-to-wear-red-on-this-holiday-season/ […]