SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Celebrity Costumes from Halloween 2018
Mitindo

Celebrity Costumes from Halloween 2018 

usiku wa Oktoba 31, ina semekana kuwa ni usiku wa Siku ya Watakatifu Wote, mara nyingi huadhimishwa na watoto kwa kuvaa masks za kuogopesha, Halloween inafikiriwa kuhusishwa na tamasha la Celtic Samhain,when ghosts and spirits were believed to be abroad.

Well hio ilikuwa zamani, sasa hivi Halloween ina sheherekewa na watu wa umri wote na unavaa vyovyote sio lazima uwe unaogopesha watu maarufu wengi huwa wana debut iconic looks za watu maaru wengine, well lets see mwaka huu nani amevaa nini katika siku hii

Lets start na Queen Bey her self mwaka jana ali debut looks za rapper Lil Kim mwaka huu ameamua ku-debut look ya mwanamuziki mkongwe Tony Braxton, ambapo ali re-create huu muonekano kutoka katika cover ya wimbo wa Tony uitwao single ‘Another Sad Love Song’ uliotoka mwaka 1993, Beyonce actual slayed this look.

Mwanamuziki Rita Ora, yeye aliamua kujibadilisha na kuchukua look ya mwanamuziki mwenzie wa kiume Post Malone, Rita killed this look tunaweza kusema amechukua muda wake kupata hii look, the tattoo’s, nywele,ndevu just perfect and the outfit was perfect tumependa hii pia.

Rita Ora

Post Malone

Ciara took us back to January mwaka huu ambapo kitu kikubwa kilichokuwa kina ongelewa ni movie ya black panther, Ciara ame dress up like Nikita kutoka katika movie hio ya black panther and actual nailed this look, hizi ni outfit ambazo tunasema mtu alijiandaa kama ni kununua, kuazima au kutengenezewa she did that, okay Cic we see you

Ciara

Nikita

The 5 Kardashians yaani Kourtney Kardashian, Kim Kardashian, Khloe Kardashian, Kendall na Kylie Jenner wao waliamua kuwa angels, by that we mean half naked models, wao walivaa kama Victoria Secrets runway models, according to Kim haya mavazi pamoja na wings ni kutoka kwa Victoria Secrets wenyewe, well seems like others dream on being Victoria Secrets Angels wakati Kim na wadogo zake wanaweza kuziazima for one night okrrru.

Look nyingine ambayo ilituvutia ni hii kutoka kwa Kylie Jenner ambae yeye aliamua ku recreate look ya Barbie doll, well wengi walisema she is plastic so ni kama amejicheka mwenye kuonyesha kuwa hajali Kylie aliweka picha nyingine na ku-caption “Life in Plastic, It’s Fantastic” akiwa amechukua kipande cha wimbo wa Aqua – Barbie Girl, she actual looked like a doll, she nailed the look with blonde hair & pink swimming costume

Well tuambie wewe nani amekukosha zaidi?

Related posts

3 Comments

 1. พนันบอล

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrity-costumes-from-halloween-2018/ […]

 2. Residual income opportunities

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrity-costumes-from-halloween-2018/ […]

 3. mushroom chocolate bars for sale​

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrity-costumes-from-halloween-2018/ […]

Comments are closed.