SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Celine Dion Serving Looks On Fashion Week
Mitindo

Celine Dion Serving Looks On Fashion Week 

Mwanamuziki mkongwe Celine Dion ( 51) ameonekana katika mitaa mbalimbali katika msimu huu wa fashion week. Celine ameonekana kuwa kivutio cha wengi kutokana na mitoko yake anayo i-serve katika mitaa hiyo.

Ameonekana akiwa amevalia outfit mbalimbali kama monochrome pink look kutoka kwa Peter Do , check outfit kutoka kwa Michael Kors Collection, Richard Qinn na wengine wengi

Ukiachana na hizo ambazo ametupa rich mom vibes, Celine pia ametu-serve cool mom styles

We can all agree age is just a number, Celine is shaming the youngish without trying hard.

Related posts