Okay Chanel ame prove hawapo hapa tu play, katika latest show yake ya Haute couture, Chanel wame bring everything we need this year. Kuanzia skirt suit (in which tupo sure zitakua a hit mwaka huu) , party tuxedo,sequins with feathers, sequin trousers under sequin dresses na pink fluffy gown’s na hatuna budi kusema shikamoo Chanel
sequin dresses
wanamitindo walio kuwepo ni kama Gigi Hadid, Kendall Jenner na Lily-Rose Depp
The Mirror set
The Suits
sequins, sequins with feathers, sequin trousers under sequin dresses
pink fluffy number
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/chanels-haute-couture-paris-show/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 37384 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/chanels-haute-couture-paris-show/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/chanels-haute-couture-paris-show/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/chanels-haute-couture-paris-show/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/chanels-haute-couture-paris-show/ […]