Wanawake siku hizi wana penda ku dress up na katika mwezi huu mtukufu watu hufikiri hawawezi ku dress up sababu mabai bui yako boring well kama bado una fikiria hivyo mpaka sasa una hitaji ku google modern islamic fashion more maana kwa sasa una weza kuvaa baibui na ukapendeza kuliko ambae hajavaa baibui well long story short hizi ni idea za mitoko yako ya Hijab week hii