SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Chic Martenity Outfits Kutoka Kwa Ayanda Thabete
Mitindo

Chic Martenity Outfits Kutoka Kwa Ayanda Thabete 

At this point we can all agree Rihanna just unlock the new era of martenity looks, huko mitandaoni kwasasa kila mtu ana show mimba yake oh yes if we can celebrate ab’s we can celebrate mother hood too, like hide it for who?

Toka mwaka jana tumekuoa tukiona namna ambavyo socialietes wameamua kuingia katika ulimwengu wa umama iwe walishakuwa wameamua kuongeza au ndio mara ya kwanza, hivi karibuni tumemuona South African fashionista Ayanda ame-reveal kwamba ni mjamzito na since then hajaacha kutuonyesha mitindo yake katika ulimwengu wake huu mpya.

She been serving the baby bump like a 3 course meal, asubuhi mchana na jioni,kama wewe ni mama kijacho na unapenda kwenda na fashion then hizi ni inspiration kutoka kwake.

Kama ungependa kufanya baby shower au bump photoshoot hizi mbili zitakufaa

Na kwaajili ya mitoko kama Dinner, unanda kukutana na marafiki basi hizi hapa zinaweza kukusaidia endapo tu hauogopi kuonyesha tumbo.

Tuambie ipi utaweza kujaribu?

Related posts