SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CHRISSY TEIGEN & CELINE DION FOR BEAUTY AND THE BEAST PREMIERE
Mitindo

CHRISSY TEIGEN & CELINE DION FOR BEAUTY AND THE BEAST PREMIERE 

Well Chrissy Teigen & Celine Dion sio watu wa mchezo mchezo, hii likua premiere ya movie ya beauty and the beast na hawaku hesitate kuvunja kabati, nadhani hii iwahamasishe bongo movie wetu kuto kudharau red carpet. mtu ana weza kusema hii ni just movie premiere akaenda ovyo ovyo angalieni Chrissy na Celine walivyo haribu ( ki vizuri lakini) katika red carpet hii

akiwa amekuwa Styled by Monica Rose, Chrissy Teigen amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Raisa & Vanessa likiwa na rangi ya burgundy na embroidery, velvet na  tassels.

Kumalizia muonekano Chrissy alibeba clutch iliyo match rangi ya nguo, burgundy lipstick na aliweka pony tail hair style one word PERFECT

Lakini pia our all time favority lady Celine Dion alikuwepo na yeye alivow in Christian Siriano Pre-Fall 2017 Gown: gauni hio ilikuwa na rangi ya soft blue, high neck na ilikuwa na bow katika mkono mmoja

kumalizia muonekano Celine alivaa small accessories, simple make up and she has on word pia KILLER.

Kama una maoni tuandikie

Instagram – Afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

3 Comments

 1. Albino Penis Envy Mushroom Psilocybin

  … [Trackback]

  […] Here you can find 19095 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/chrissy-teigen-celine-dion-for-beauty-and-the-beast-premiere/ […]

 2. pmma crystallinity,

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/chrissy-teigen-celine-dion-for-beauty-and-the-beast-premiere/ […]

 3. why not try this out

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/chrissy-teigen-celine-dion-for-beauty-and-the-beast-premiere/ […]

Leave a Reply