Mwanamitindo ambae ni mama wa mtoto mmoja Chrissy Teigen, Pia ni mke wa mwanamuziki John Legend ameonyesha too much katika red carpet ya American Music Awards,
split thigh high dresses zina weza kuwa kwenye trend lakini mpasuo unapo kuwa mkubwa una weza kuonyesha vingine ambavyo havikutakiwa kuonekana.
Hii ime mtokea Chrissy baada ya kuvaa hii gauni yenye mpasuo mrefu ulio enda mpaka juu ya kiuno, licha tu ya kuonyesha vingi lakini pia gauni hii ilimfanya kuto kuwa comfortable ilim’bidi awe ana zuia isifunuke,
Chrissy kabla ya kuvaa hii nguo angepitia kujua faida na hasara zake maana kuna wanamitindo walivaa nguo ya design hii waliaibika kama yeye soma hapa,
How awkward kupita mbele ya stage ya mamilioni ya watu ukiwa upo uncomfortable na nguo yako, kila siku tuna sema usivae nguo sababu tu ipo kwenye trend vaa nguo ambayo upo comfortable nayo
hii iwe fundisho na kwa wengine, the shoes & accessories areĀ dope though
Wasiliana nasi kupitia
Facebook -afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Instagram – afroswagga
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…