Ni Christmas Season, ni holiday season kuna event mbalimbali ambazo utaalikwa na kutokea lakini hii uwaga haikosi, ofisi nyingi huwa wana fanya Christmas party kabla ya kwenda kwenye mapumziko ya sikukuu hio. Tume ona tuwaletee ideas za mitoko ya kuvaa kwenye hio party kama itatokea.
Cha kwanza unacho takiwa kujua ni office party, sio party na marafiki lah hii party utakuwepo na ma boss wako, baadhi ya wateja na work mates zako, kwai jaribu kuwa simple japo sio too much simple. Usiexpose sana mwili wako kwa sababu baada ya Christmas mtarudi na utakuwa topic midomoni mwa watu.
over knee bandage dress
turn heads na over knee off shoulder ruffle dress
Classic dress ukimalizia na cape blazer
Two pieces si mbaya kama utavaa rangi za ku shout ila best choice kwenye event za hivi ni dark color
Suit it up, toa Snickers vaa heels
hope tume kusaidia
tupe maoni yako kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggatz
Twitter – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…