Just because unaenda kanisani haimaanishi uvae boring clothes, unaweza kuwa stylish yet elegant for the church unacho takiwakujua ni vitu gani muhimu vya kuzingatia
- zinagatia kwamba ile ni nyumba ya Ibada unatakiwa uvae ki heshima
- usivae viatu virefu sana ukawakera wengine
- simple glam dont hurt no body
Leo tunakuletea namna ya kuspice up mtoko wako wa kanisani bila kuvuka mipaka ya nyumba ya ibada
Add something extra wengi huwa tunachagua pencil skirt za suit na ma shirt au full suit, well tumesha zoea vipi kuhusu kuvaa a pencil skirt or dress with long coat or cardigan?
Usiogope kuvaa rangi, chagua rangi ambazo zipo calm kidogo, add something extra and your good to go.
kuwa creative na mavazi yako, unaweza kuvaa ruffle top na track pant trend na ukamalizia muonekano wako na small handbag na pupms
Simple elegant dress na matching shoes malizia muonekano wako simple accessories .
Tuambie mtoko upi umeupenda zaidi?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 92105 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 59826 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-outfit-ideas/ […]