Well jumapili ni siku ya kwenda Kumuabudu M/Mungu kwa wenzetu wa kristo na pia jumapili ni siku ya mapumziko watu huenda sehemu mbali mbali kupumzika na ku-have fun, huwa ni shida kutoka kanisani kurudi nyumbani kubadilisha mavazi kisha kwenda kwenye mikutano yako mbali mbali kama ni movies, parties, birthday etc lakini leo tumekuletea outfits ambazo unaweza kuvaa na ukatoka kanisani na kwenda popote ambapo umealikwa.
Layered ruffle skirt are so in, almost kila fashionista ame zi rock, unaweza kuvaa ya rangi uipendayo na top ukamalizia na heels na pochi. Ukitoka unaweza ku switch heels na kicks au flat sandals kufanya outfit yako iwe more casual for weekends.
A high waist trouser & top, hii nayo una weza ku switch ukavaa sneakers to make it stylish yet casual for friends gathering ondoa na chain.
Colorful dress and matching shoes
Outfit gani ime ku inspire week hii? tuambie kupitia account zetu katika mitandao ya kijamii
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-to-other-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-to-other-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-to-other-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-to-other-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-to-other-gathering-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/church-to-other-gathering-outfit-ideas/ […]