SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ciara & Toke Makinwa Rocking Prada Nylon Monolith Ankle Boots
Mitindo

Ciara & Toke Makinwa Rocking Prada Nylon Monolith Ankle Boots 

Tuesday shoesday kwa sasa trend kubwa inaonekana katika upande wa viatu ni boots, ambapo watu maarufu mbalimbali wameonekana wakivalia viatu hivi. Prada Nylon Monalith ankle boots zimeonekana kuvutia wengi kutokana na utofauti wake wa kuwa na kipochi. Ikiwa mwaka jana tuliwaona watu maarufu kama Kylie Jenner, Bella Hadid, Dogo Janja na wengineo wakiwa wamevalia hizi boots, mwaka huu tumewaona mwanadada Ciara na Toke Makinwa wakiwa wanazi-flaunt.

Well boots hizi zinauzwa Eur 1100 sawa Tsh 2,993,830.36

Wakati Ciara akiwa amevalia boots hizi nyeupe na outfit nyeupe, Toke yeye alivalia nyeusi na black & white outfit. #Afromates tuambie thoughts zako kwenye viatu hivi

Related posts