SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Clogs Are The It Shoes For The Moment
Mitindo

Clogs Are The It Shoes For The Moment 

Clogs zinzaonaka kuanza kuzipoteza crocs, tofauti kubwa ya clogs na crocs ni kwamba clogs zimekaa kipedezee kidogo zinapatikana in leather au suede materials na zinamunekano fulani unaweza kuvaa zikaonekana vizuri kuliko crocs ambazo zimekaa casual zaidi.

Kwasasa zinaonekana ku-trend sana hasa kwa upande wa wanaume, tumewaona watu maarufu kama Rio Paul, Juma Jux pamoja na Rich Mitindo wakiwa wamevalia viatu hivi, lakini hizi sio zile normal boring clogs ambazo tumeona zimetrend na wamezivaa ni zile zina chain kubwa kwa mbele, chain hii inaweza kuwa ya gold, silver au plastic

Well Afromates tupe maoni yako kuhusu hivi viatu.

Related posts