SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Clogs Kutoka Kwa Balenciaga X Crocs Zinavyo Trend Kwasasa
Mitindo

Clogs Kutoka Kwa Balenciaga X Crocs Zinavyo Trend Kwasasa 

Kama ulikuwa unamawazo kwamba hii trend ya rlocs itaisha anytime soon well tunakushauri chukua kiti ukae kwa maana inaonekana brand zimeamua kuzirudisha kwa kasi ya radi. Balenciaga na Crocs waliungana na kutoa baadhi ya viatu ambapo mojawapo ni hizi clogs na zinaonekana kuvutia watu maarufu wengi kwasasa.

Clogs ambazo zinaitwa hardrocs zimeonekana kuwavutia wengi zaidi ambapo tumemuona mwanamitindo Didi Stone akiwa amezivalia lakini pia tumemuona muigizaji Luka Sabbat nayeye akiwa nazo huku mwanamuziki Justin Bieber yeye akiamua kutinga nazo katika red carpet.

Viatu hivi vinauzwa $950 sawa na tsh 2,206,375/- kama wewe ni mpenzi wa crocs basi kaa humu uonekane mnyamwezi kama kina Justin Bieber.

Related posts

3 Comments

  1. NKSFB Dave T Bolno

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/clogs-kutoka-kwa-balenciaga-x-clocs-zinavyo-trend-kwasasa/ […]

  2. Bubble Tea

    … [Trackback]

    […] Here you will find 77878 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/clogs-kutoka-kwa-balenciaga-x-clocs-zinavyo-trend-kwasasa/ […]

  3. magic mushroom dispensary colorado​

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/clogs-kutoka-kwa-balenciaga-x-clocs-zinavyo-trend-kwasasa/ […]

Comments are closed.