Kila tutazamapo Coke Studio Africa huku tukishushia na Coca ya baridi pembeni, ni full burudani. Mavazi yako styled kiaina yake, muziki mzuri na performance ni kali.
Wiki hii tulikuwa na Rayvanny (TZ), Dji Tafinha (AG), The Band BeCa (KE), AKA (SA), Olamide (NG), Yemi Alade (NG), Youssoupha (DRC) na Killbeatz (GH).
Rayvanny on stage akiwa na Dji Tafinha waliweza kucoordinate giving us blue vibes, Rayvanny’s royal blue blazer and matching hat paired with a white tee na jeans was stage smart worthy huku Dji Tafinha accessorized his look with very cool suspenders looking all fresh with his colorful tshirt.
Coming to the pretty girls toka Kenya The Band BeCa waliopanda stejini na AKA na Olamide; The girls had similar outfits one in blue while the other akiwa in white, some blouse and high waisted shorts.
AKA went all simple akivalia a black tee, white jeans and a black cap
Olamide’s carnation pink velvet bomber jacket was everything, pairing it na an all-black t shirt and jeans, chini akitupia some cool black and white striped adidas sneakers.
Then mwandada Yemi Alade alipanda kwa stage akiperform na Youssoupha toka DRC. Hakika Yemi’s fashion on Coke Studio imekuwa iktuachia tabasamu na furaha moyoni kila tumuonapo. Her moss olive dress mixed with African prints looked good on her as always huku msanii Youssoupha had an all white t shirt and jeans paired with a Versace bomber jacket.
Must say Coke Studio modern African vibes are an inspiration kwetu. It tells that modern looks with a touch of Anything African can never go wrong.
Imeandikwa na @willibard_jr
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-africa-fashion-review-episode-5/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-africa-fashion-review-episode-5/ […]