Coke Studio Africa, mambo bado ni moto. Muziki mzuri, mavazi maridadi, hakika ni burudani ya aina yake, ya kipekee.
Wiki hii tulikuwa na wasanii Patoranking (NG), Alikiba (TZ), Amanda Black (SA), Joey B (GH), Dremo (NG), Nyashinski (KE) na Mafikizolo (SA).
Well the velvets gave us life from Alikiba na Patoranking. Akipeform My Woman, Alikiba alivalia a royal dark purple velvet shirt paired with black tight jeans and a gold chain kifuani, The look was very royal on him.
With Patoranking,akiimba Chekecha Cheketua, he was smoking hot in an all royal red velvet trucks, head to toe, akimatch na white sneakers and shades. The look was bright and so were his dance moves.
Na on their orginal song collab, Alikiba went for a yellow, red and white sweater huku Patoranking akivalia a yellow sweater t-shirt and wote chini wakiwa in black tight jeans. Pia our eyes went for the shoes as Alikiba had some white sneakers and Patoranking rocking some macaroon coloured Chelsea boots.
With her slow soothing performance, Msanii Amanda Black had a green and brown coat, blush pink skirt akiwa na her signature dotted tattoos usoni na her yale blue braids kichwani. Joey B alivalia a cyan t-shirt, a black cowboy hat kichwani na Vans mguuni, all fresh.
Na lastly kwa stage were Mafikizolo (SA), Nyashisnki (KE) na Dremo (NG). With Makifizolo, the accessories were African wow. Nothing that a drop of African anyhthing cannot fix. Theo’s maroon jacket looked sexy on him na Nhlanhla’s off shoulders African printed peplum blouse with a gold belt kiunoni was everything.
Dremo’s simple and fresh look had him wearing a dark blue flowerly shirt huku Nyashisnki had a simple tee on him. Both walitupia some killer white sneakers kwa chini.
Review imeandikwa na @willibard_jr
Twaendelea kuwa inspired na kudiscover more killer outfits and style all thanks to Coke Studio Africa.
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 67488 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-africa-fashion-review-episode4/ […]