SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Coke Studio Africa Fashion Review
Mitindo

Coke Studio Africa Fashion Review 

Hakika Coke Studio msimu huu imeendeleza kutupa burudani na flavour mbalimbali kimavazi. Twaendelea kudiscover na kujifunza mazuri mengi kimavazi.

Wiki hii wasanii Chidinma, Patoranking (NG), Sauti Sol ( Kenya), Alikiba (Tz), Laura Beg (Mauritius), Sami Dan (ET) na Ozane (Togo) walikonga nyoyo zetu kwa show kali na mavazi maridadi kabisa sequins zikitawala.

With Chidinma’s outfit hakika kila kitu kilikuwa perfect, mix ya the African prints kitenge, teal coloured sequins combined dress, the head wrap plus matching teal earrings vilimfanya apendeze sana akituinspire kuwa more creative when matching prints with other materials kama sequin

 

Kundi la muziki Sauti Sol pia walirock sequin attached bomber jackets za rangi ya gold, kahawia, maroon na denim. Hapa tulijionea vile sequin pia yaweza rocked hata kwa wakaka ikiwa mixed vizuri. Pia black tight jeans na sneakers na boots ziliongeza umaridadi inspiring us all on how to change a boring outfit into something wow with sequin.

On their second look tuliona nyeupe ikitawala, white tees na tight jeans ambazo zilikuwa paired na red, yellow shades na white coloured jackets.


Msanii Laura Reg toka Mauritius, her floral dress ilikuwa simple but elegant with lovely beaded earrings huku partner wake Sami Dan (Eritrea) akiwa simple yet stylish in a white tshirt dazzled with sequin kidogo, black jeans na sneakers kwa chini

Toka Tanzania, msanii Alikiba alimaintain his usual simple but classy looks, a simple tshirt, jeans na some brown leather shoes. Huku pembeni Patoranking alivalia some blue and white velvet tshirt, white jeans, red sneakers pamoja na some cool white glasses, being a perfect mixture ya bright colours. Ozane toka Togo his white combo was perfect, paired with a bird print jacket, the olive coloured hat na hand accessories.

Hakika tumeweza kudiscover on how sequin can be accessorized and mixed katika mavazi ya kawaida na kukufanya utokelezee kiupekee.

unaweza kuangalia show zote kupitia link hapo chini

 

Related posts

3 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-africa-fashion-review/ […]

 2. hop over to here

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-africa-fashion-review/ […]

 3. mushroom dispensary near me​

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-africa-fashion-review/ […]

Leave a Reply