Well mates kama bado hujapata tizama msimu huu mpya wa Coke Studio Africa, basi hakika wapitwa na mengi. Muziki mzuri kila wiki na fashion trends za aina yake toka kwa wasanii.
Wiki hii tulikuwa na AKA (SA), Olamide (NG), Betty G (UG), Nandy (TZ), Worlasi (GH), Sauti Sol (KE), Chidinma (NG) na Sketchy Bongo (SA).
Tuanze na AKA ambaye alivalia a khaki coat, a yellow hoody, some blue denim jeans and viatu vya hatare, some high leather khaki Yeezy boots alivyoperform Lagos Boys
Akafuatie the mkali Olamide aliyevalia a white, grey and yellow large patterned sweater t shirt huku chini akiwa in all white from the jeans hadi raba.
Then the African princesses Betty G na Nandy waliliteka jukwaa as Betty G looking young in African yellow kitenge as a crop top na some sexy shorts, huku accessories pia zikiwa all African and her hair looked lovely too. Nandy rocked a cute Kitenge shorts dress akiivalia na a black blazer, na some cute pink sneakers. Walitukukbusha hakika the sweetness of childhood ikiwa ni nyimbo waliyoperform.
And from our favorite boy group Sauti Sol, Polycarp rocked some African prints trousers and his gorgeous red robe, Bien had a t shirt and jeans but akivalia pia an olived colour robe and lovely red sneakers na Delvin opted for denim juu na chini while his white tee matched his white sneakers.
Worlasi toka Ghana patched denim sleeveless coat, dark jeans na some black boots huku his glasses zikikamilisha his sexy look. The lady of the stage Chidinma looked pretty in them long pants, African shiny prints top, silver heels na her neck choker piece blinging her look.
And for their collab AKA na Olamide iitwayo Kolole, AKA went full black head to toe, t shirt and jeans. Olamide having a white tee na black jeans alinogesha na a rose patched red and navy blue bomber jacket huku chini akitupia some cool Puma sneakers.
Hakika it was all magical huku tukishushia na Coke ya baridi. The music and turn up was lit na the fashion, colours and styling was perfect.
imeandikwa na @willibard_jr
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-fashion-review-season-5-episode-8/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 43234 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-fashion-review-season-5-episode-8/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-fashion-review-season-5-episode-8/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 35316 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/coke-studio-fashion-review-season-5-episode-8/ […]