SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Collection Ya Mavazi Ya Balmain Yaibiwa
Mitindo

Collection Ya Mavazi Ya Balmain Yaibiwa 

Kwasasa katika ulimwengu wa fashion ni Fashion Week’s ambapo wabunifu wakubwa wana showcase collection zao katika Nchi mbalimbali kama NewYork,Paris etc. Ikiwa tunamalizana na New York Fashion Week kuelekekea London Fashion Week kisha Millan na Paris Fashion Week Tarehe 25 mwezi huu Creative Director wa Kampuni ya mavazi ya Balmain, Olivier Rousteing amesema karibia pieces 50 ambazo zilitakiwa kuwa showcased kwenye Paris Fashion Week zimeibiwa. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Olivier aliandika haya.

Lakini inaonekana japo wameibiwa show bado itafanyika na mengine yataendelea.

Related posts