SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Color Hacks For A Killer Outfit – Part 2
Dondoo

Color Hacks For A Killer Outfit – Part 2 

Week iliyopita tuliangalia namna 3 ambazo unaweza kupangilia rangi zako ili kupata muonekano mzuri,tuliongelea kuhusu jinsi ambavyo unaweza kuanza taratibu mpaka ukafikia sehemu unayo itaka

 • Take Baby Steps / Power Of Contrast 
 • Monochrome Colors 
 • Pick A Common Color 

Unaweza kuingia hapa kusoma zaidi Color Hacks For A Killer Outfit – Part 1 leo tunamalizia na njia 3 za mwisho za namna unaweza kutumia rangi katika mtoko wako na ukapendeza

 • Jewel Tones 

Hizi ni zile rangi za vito kama huwa mnasikia kwamba mtu mwenye nyota ya aina fulani anatakiwa kuvaa kito cha rangi fulani, yes hizi ndizo zile rangi, kama ukiangalia collection za wabunifu wengi sasa hivi wametumia hizi colors na wana zistyle kwa kuzi-combine pamoja.

 • Colors that pair together 

Kuna zile rangi ambazo zina pair vizuri pamoja kama black and white lakini black and white ni neutral unaweza kutafuta zile ambazo zina shout kidogo lakini ukawa muangalifu katika kuzivaa pamoja, the perfect way kuvaa hizi rangi ni kutafuta moja ambayo ni dark na nyingine ambayo inashout zinaweza kuwa same color different shades au hata colors tofauti na shades tofauti

 • red & orange
 • red & pink
 • chocolate brown & powder black
 • purple & yellow

Mchanganyiko Wa Rangi Mzuri Utakao Nga’risha Vazi Lako

 

 • Skin Tone, Skin Color & Hair Color

Kujua skin tone yako ni ipi husaidia kujua rangi gani ambazo zinafaa uvae na ambazo hazifai, lakini pia unaweza kuweka rangi nywele na ikasiaida ku -add a pop of color katika outfit yako, lakini pia ukiwa na nywele nyeusi ukavaa na rangi ambazo ni colorful unaweza kupata matokeo mazuri ukiwa na colorful hair ukavaa na rangi za dark pia zinaleta something beautiful.

well we are done na topic ya rangi hopeful mmepata mawili matatu kutoka kwetu, unaweza kutuambia ni nini ungependa kujifunza next time kuhusu fashion.

 

Related posts

3 Comments

 1. mounjaro approved for weight loss​

  … [Trackback]

  […] There you will find 31759 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/color-hacks-for-a-killer-outfit-part-2/ […]

 2. Dark web market links

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/color-hacks-for-a-killer-outfit-part-2/ […]

 3. have a peek at this site

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/color-hacks-for-a-killer-outfit-part-2/ […]

Comments are closed.