Ni week ya pili ya mwezi wa kumi ni jumatatu nyingine tena ya heka heka za makazini, Tunakupa corporate looks za kukupa idea ya nini uvae week hii kutoka kwa fashion bloggers na fashionistas
Fashion Blogger & stylist Lavidoz yeye ametupa corporate look yake in full black, amevaa black pull neck top, black ripped jeans na a statement blazer nyeusi huku akimalizia muonekano wake na black pumps na black handbag, ready to counquer october
Mama wa watano looked dashing in speshoz burgundy suit akiwa amevalia ba blouse nyekundu amemaliza muonekano wake na nude heels na louis Voitton handbag
Muigizaji Elizabeth Michael yeye ameuanza mwezi huu wa kumi na floral blouse, suruali nyeusi na silver pumps always a slayer
Fashion blogger Missie Popular yeye amevaa blue suit na stripped t-shirt huku akimalizia muonekano wake na black pumps
we cant wait to see mwezi huu umetuandalia nini katika swala zima la mitindo, tuambie nani katisha zaidi kati ya Lavidoz, Zari, Elizabeth na Missie Popular
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/corporate-looks-ideas-kutoka-kwa-lavidoz-zari-na-wengineo/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/corporate-looks-ideas-kutoka-kwa-lavidoz-zari-na-wengineo/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 44155 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/corporate-looks-ideas-kutoka-kwa-lavidoz-zari-na-wengineo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/corporate-looks-ideas-kutoka-kwa-lavidoz-zari-na-wengineo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/corporate-looks-ideas-kutoka-kwa-lavidoz-zari-na-wengineo/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/corporate-looks-ideas-kutoka-kwa-lavidoz-zari-na-wengineo/ […]