SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Corset Dress Mshono Unao-Trend Kwa Sasa
Mitindo

Corset Dress Mshono Unao-Trend Kwa Sasa 

Kama unahudhuria harusi, una wedding reception, kitchen party au hata birthday party huu ndio mshono ambao unaonekana ku-trend kwa sasa Nchini kwetu na hata nje ya Nchi. Unaitwa Corset Dress, kama unajua ile mikanda huwa tunavaa kubana tumbo basi huu mshono upo inspired na ile mikanda.

Ni mshono mzuri ambao unaweza kuvaliwa na mtu wa body yoyote ni kuchagua style tu inayoendana na mwili wako. Tumeona watu maarufu mbalimbali na ma-fashionista wakiwa kwenye mshono huu kama.

Lavidoz ambae yeye alivalia a long black and sequin corset dress kwa wale ambao mnapenda kuonekana chic lakini mkiwa mmefunika maungo basi huu unafaa sana, Hamisa Mobetto alikuwa kwenye short one shoulder corset dress hii inawafaa wale ambao wanapenda kuvaa nguo fupi lakini pia tulimuona fashionista Jojo Gray akiwa amevalia revealing corset dress kutoka kwa mbunifu Mahaumes, hii ni kwa wale wanaopenda kuonyesha maungo na kuwa extra.

Well tuambie style ipi kati ya hizi tatu umeona inakufaa?

Related posts