Sote tunajua weekend ni siku za mapumziko na wengi huwa tunatumia kupumzika na familia zetu, well weekend hii tumeona hizi couple tatu ambazo zimetupa couple style goals lilipokuja katika swala la mitindo na style.
The power couple, “The Carters” walihudhuria premiere ya movie ya Lion King ambapo Beyonce ni moja ya cast katika movie hio, Beyonce amevaa hii custom gold pleated gown with thigh high slit Kutoka Kwa mbunifu Cong Tri, alimalizia muonekano wake na a beautiful clutch, jewelries na gold strap sandals.
Wakati Le Hubby, Jay Z yeye alikuwa in black & white tuxedo,we love the outfit but the hair mmh.

Katika hio hio premiere ya Lion King we had yet another powerful couple ambao ni Prince Harry na mkewe Meghan Markle, Meghan yeye alivaa black cocktail dress yenye delicate mesh overlay for maximum effect, kutoka kwa mbunifu Jason Wu . Meghan is knowing for her simplicity, as usual she had a no makeup, makeup look amebana nywele zake vyema huku akimalizia muonekano wake na clutch na black shoes. Wakati mumewe nae akiwa in black & white tux.

We had our own couple moment kwa Tanzania, ambapo tulimuona mwanamuziki Juma Jux akiwa na mpenzi wake kwa sasa looking sensational in their outfit.

Related posts
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…