SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Crushing On Catherine “A Fashionable Stepmother”
Mitindo

Crushing On Catherine “A Fashionable Stepmother” 

Catherine ni fashion blogger kutoka Kenya, ni mama wa kufikia wa watoto sita (how amaizing is that?). Blog yake inaitwa fashionablestepmom ambapo ukisoma kuhusu yeye unakuta maelezo yake yote, lilituvutia zaidi ni kwamba amefungua hii blog kwa ajili ya mama wa kufikia ambao kwake anahisi hawachukuliwi serious katika jamii (which is true though), na hii si tu kwa step mothers, bali kwa wamama na wasichana ambao wanatoka katika usichana na kuingia umama, hapa katikati its a bit confusing unashindwa kujua ujiweke vipi ukivaa kisichana utaambiwa unaonekana mama ukivaa kimama una jizeesha, kwetu tunadhani this is a perfect blog kwa wasichana wamama (lol).

She knows how to keep up with trend yet looking just fabulous, Gingham ime kuwa kwenye trend kwa muda yeye amua kuvaa trend hii in a dramatic shoulder pencil dress na pumps, ame accessorize na simple accessory to make it more womanly.

Mom’s can rock off shoulders too & well this dress is fire, tumependa color coordination pink na burgundy, hii outfit unaweza kwenda nayo diner date ( bringing out the sexiness in a classy way)

Pleated Skirt nazo zipo so in yeye amechagua green pleated skirt ambayo amevalia na Black top with lace up shoes, ambapo amemaliza mtoko wake na clutch inayo endana rangi na outfit yake, gold choker na saa. Oh that make up is poping

You can never go wrong with white, tulicho kipenda kuhusu Catherine ni jinsi ambavyo ana turn trendy outfit ambazo zinavaliwa na wasichana wengi to a woman hood outfit.

Casual Not Too casual

Related posts

4 Comments

  1. check it out

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-catherine-a-fashionable-stepmother/ […]

  2. buy blue oyster mushroom spawn

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-catherine-a-fashionable-stepmother/ […]

  3. Gelato 33 1.5g High Roller Pre-Roll

    … [Trackback]

    […] There you will find 49321 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-catherine-a-fashionable-stepmother/ […]

  4. fryd

    … [Trackback]

    […] Here you can find 70794 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-catherine-a-fashionable-stepmother/ […]

Comments are closed.