Wanasema ‘Give a Girl The Right Shoes And She Can Conquer The World’ hii statement ina ukweli ndani yake, ukiwa umevaa a good fitted shoes unahisi una weza kufanya chochote, feels like a woman confidence is on her shoes, Leo tuna crush badly katika collection ya viatu ya Fashionista Kefilwe Mabote tunacho weza kusema ni every girl dream shoe collection, Kefilwe yeye anavaa designer shoes
Hapa akiwa in Gucci Fur Mules hizi zimependwa sana ukiangalia review za watu wengi wana sema they are very comfortable.
Dolce Gabana Nude Heels, love how ame pair the shoes na nguo zake very stylish
Christian Louboutin Pumps are the cutest
Prada Fur Mules We Love These so bad
Red Valentino heels
Hivi ni baadhi tu ya sisi tulivyo vipenda lakini the list go on and on and on, as we normal say a good pair of shoes can make a huge different katika mtoko wako so invest in the shoes babies
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-kefilwe-mabote-shoes-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-kefilwe-mabote-shoes-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-kefilwe-mabote-shoes-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-kefilwe-mabote-shoes-collection/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 20768 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-kefilwe-mabote-shoes-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 73046 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/crushing-on-kefilwe-mabote-shoes-collection/ […]