SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Crushing On Kyrzayda Rodriguez Fashion Blogger Who Is Battling Cancer
Mitindo

Crushing On Kyrzayda Rodriguez Fashion Blogger Who Is Battling Cancer 

Kyrzayda Rodriguez ni fashion blogger anaeishi new york city, sisi ni moja ya wafuasi wake wakubwa, ana umri wa miaka 37 na ni mama ( ana mtoto) Kyrzayda alianza blogging mwaka 2013 na mwaka 2016 aliacha kazi yake na ku focus katika blog yake.

Kyrzayda hivi karibuni ametangaza kuwa ana cancer na anaendelea na matibabu, tuna muombea apone na aendelee ku slay akiwa heathly

We love her style, she is very creative when it comes to her outfits.

leo huyu ndiyo Woman Crush Wetu Kwa Leo, Keep Going Strong Kyrzada

Related posts