SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Curvy Girl Date Outfit Ideas Insipred By Nakitende Esther
Mitindo

Curvy Girl Date Outfit Ideas Insipred By Nakitende Esther 

Kuvaa kwa ajili ya date night kunaweza kuwa kugumu kwa mtu yoyote, mwanaume,mwanamke, mwenye mwili mkubwa au mdogo, na hii ni kutokana na kuwa na ile hali ya kutaka kupendeza lakini pia kuwa comfortable na kutokutaka kuonyesha kwamba uko too excited it can be hectic.

Lakini pia kuna rules za kuplay katika mavazi kwa mtu wa aina yoyote uwe plus size or not, unahitaji kujua aina ya mwili wako na jinsi ambavyo utavyocheza nao na mavazi kufikia style yako and yet looking good, kwa kusema hayo twende moja kwa moja kuona mavazi gani unaweza kuvaa kwenye date night kama wewe ni curvy girl. Mavazi haya tumeuaona kwa curvy girly Nakitende Esther ambae ni plus size lakini anapendeza sana.

  • Movie Date 

Hii ni more of a casual date huitaji kujiandaa sana you need to be casual chic, katika date kama hizi unaweza kuvaa t-shirt and trouser ila ukaongezea tu bold accessories na heels, as unaenda cinema unakaa chini huonekani sana na watu why rocking that sexy dress? save it for another day, lakini pia unaweza kuvaa a two piece casual set kama hii ambayo tumeiona kwa Curvy Girl Nakitende Esther na tukaona inaweza ku-fit in hapa

or you can go with short pants and shirt for that extra sexiness

  • Dinner Date 

Tunapoongelea hii dinner date ya hapa ni ile unapelekwa hotel, sio kwenye vibanda vya chips au bar labda hii ni zile hotel’s kubwa kubwa maana hamkawii kusema nivae nipende hivyo naingia bar? well you can kama unajisikia kuvaa hivyo bar na unataka kumu-impress huyo mtu, but we can advice you to be casual chic kama utapelekwa bar au kfc, kama ni mtoko wa maana you need to bring your sexy game on, unaweza kuvaa a short dress ukapaka makeup yako nzuri, heels on and a clutch lakini pia you can rock and long dress depends na kipi upo comfortable nacho

Or you can do a jumpsuit.

  • Drinks & Dancing 

hapa ndio ile mitaa yetu labda bar au club, kama unajisikia kuwa glamorous unaweza kuchagua kuvaa a short dress a little black dress to be specific kama huna unaweza kuchagua rangi yoyote, heels on hair done & makeup

Related posts

6 Comments

  1. youtube download video

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/curvy-girl-date-outfit-ideas-insipred-by-nakitende-esther/ […]

  2. here are the findings

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/curvy-girl-date-outfit-ideas-insipred-by-nakitende-esther/ […]

  3. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/curvy-girl-date-outfit-ideas-insipred-by-nakitende-esther/ […]

  4. index

    … [Trackback]

    […] Here you will find 17624 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/curvy-girl-date-outfit-ideas-insipred-by-nakitende-esther/ […]

  5. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/curvy-girl-date-outfit-ideas-insipred-by-nakitende-esther/ […]

  6. 토렌트 다운

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/curvy-girl-date-outfit-ideas-insipred-by-nakitende-esther/ […]

Comments are closed.