SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Damond Platnumz, Michael B Jordan, Timothée​ Chalamet And Other Stars Wearing The It Accessory ( Harness)
men fashion column

Damond Platnumz, Michael B Jordan, Timothée​ Chalamet And Other Stars Wearing The It Accessory ( Harness) 

Mara ya kwanza kuona hii accessory ilikuwa katika run way ya  Louis Vuitton SS19 ambapo mbunifu Virgil Abroh aliwavalisha models wake gun holster harnesses.  Haikuchukua muda mrefu kwa wabunifu wengine kutuletea aina tofauti za accessories hizi lakini kichwani mwetu hatukudhani kama itakuja kuwa accessory of the season (trend)

Oh well what do we know? watu maarufu mbalimbali walionekana kuvutiwa nazo na kuanza kuzivaa watu kama Michael B Jordan ambae alihudhuria katika Sag Awards akiwa amevalia Harness ambayo ilileta a statement touch kwenye outfit yake

Wengine waliovaa hii accessory ni

Timothee Chalamets Akiwa katikaGolden Globes Awards
Chadwick Boseman

Hivi karibuni tumemuona msanii Diamond Platnumz nae akiwa amevalia trend hii, yeye alivaa na pink suit.

Diamond Platnumz

Well Afromates tuambie unaonaje hii trend Clap or Slap?

Related posts