SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Date Night Outfit Ideas That Are Not Dresses
Mitindo

Date Night Outfit Ideas That Are Not Dresses 

Kuna wakati unapata mitoko na hutaki kuvaa too extra au magauni unataka kuonekana simple & sexy, well leo tumekuleea baadhi ya mitoko unaweza kuvaa ukatoka na kupendeza

Crop top + short pants + Colorful shoes – sisi tumechagua neutral color na bold colors, kama upo vizuri kwenye styling na colors unaweza kustyle vyovyote uwezavyo, unaweza ukawa na pant nzuri lakini labda uwa unavaaga tu weekend casual unaweza kuitumia hio kuwa mtoko wako wa usku by simply adding a nice top, sisi tumechagua off shoulder & chic top na colorful mid heel shoes.

 

 

Shirt Dress – unaweza ukawa nayo lakini huivai kwenye mitoko, shirt dress can be very chic if worn right, tafuta shirt dress yako match au mix rangi na viatu beba na a simple clutch you good to go.

High Waist Trouser + Crop tops – high waist trouser are must haves, ukihitaji kushow curves na kupata ile elegant look basi hapa ni mahala pake, changanya rangi vizuri na accessorize. 

 

Related posts

3 Comments

  1. bbw.com

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/date-night-outfit-ideas-that-are-not-dresses/ […]

  2. David Bolno NKSFB

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/date-night-outfit-ideas-that-are-not-dresses/ […]

Comments are closed.