SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Date Outfits Ideas From Sishkikii
Mitindo

Date Outfits Ideas From Sishkikii 

Ni mwisho wa week, inawezekana una mualiko wa kutoka na mpenzi wako au hata rafiki wa karibu. Mara nyingi huwa ni mtihani kujua nini cha kuvaa ukiwa na mialiko ya aina hii. Wengi huwa tunawaza nini cha kuvaa kutokuonekana too much lakini pia kupendeza. Leo tumekuletea outfit chache ambazo unaweza kuvaa kwenye date na ideas zimetoka kwa fashionista Sishkikii

Outfit hizi hazichagua ni aina gani ya date,lakini main tips za kuchukua wakati wa kuchagua vazi lako ni:

  • Unaenda kwenye date ya aina gani
  • mahala unapoenda
  • muda
  • hali ya hewa
  • mazingira
  • comfort is the key

Kama ni mpenzi wa dresses basi unaweza kuchagua gauni nzuri inayokutosha vyema, kama unapenda kuwa safe unaweza kuvaa black dress, lakini pia unaweza kuvaa rangi nyingine ukapendeza. Kwa Sishkikii tumemuona na hizi hii leather black dress, slip yellow dress na bandage dress, zote hizi ni choice nzuri kwa ajili ya date night inategemea na mood yako.

Kama upo comfortable zaidi na skirt, then chagua zile skirt fupi kidogo zenye utofauti ndani yake kwa mfano unaweza kuona kwa Sishkikii na hizi skirt zake, ambapo kuna hii nyeusi ya sequin, na hizi mbili za leather.

Inawezakana pia kuvaa palazzo / bwanga uka-spice up na crop tops, bralette au hata scarf kama ambavyo tunamuona Sishkiki hapo chini

well nimatumaini yetu tumekusaidia kujua nini cha kuvaa kwenye mtoko wako

Related posts