SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Davido Amzawadia Chioma Birkin Bags
Mitindo

Davido Amzawadia Chioma Birkin Bags 

Kama ambavyo alivyoimba love is sweet ooh, hasa ukiwa na pesa huwa tunasema kheri ulie kwenye gari kuliko kulilia kwenye daladala (if you gerit you gerit if you don’t forget about it lol),

Anyways Chioma amefikisha miaka 28 hivi karibuni na mumewe Davido amemzawadia zawadi mbalimbali ikiwepo 3 birkin bags, lady Dior bag iliyokuwa customized na neno “Chi” kifupi cha jina la Chioma lakini pia alimzawadia saa kutoka kwa Richard Mille ( money talks)

Bags za birkin kawaida huanzia kuuzwa usd 10,000 sawa na Tsh 23,530,000 na amemzawadia 3 yaani Usd 30,000/- zimemtoka unaweza kuzidisha ukajua ame spend shilingi ngapi, wakati lady dior bag huanzia kuuzwa Usd  usd 3,459 sawa na Tsh 8,128,653.46.

Kama haitoshi Davido alimchukulia mkewe saa kutoka kwa Richard Mille, saa hii ni RM011-03 Men Automatic Transparent Dial Stainless Steel Rubber Yellow Band ambayo wame-match yaani Davido anayo na Chioma anayo.

Wakati bado hatuna uhakika na bei ya saa hii kwa kawaida saa kutoka kwenye brand ya Richard Mille uanzia kuuzwa $200,000 sawa na Tsh 47,060,000/- money is sweet ooh.

Ifahamu Lady Dior Bag Aliyozawadiwa Vanessa Mdee Na Mumewe Rotimi

Related posts