SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Davido Azawadiwa Fenty x Puma Avanti Sneaker
Mitindo

Davido Azawadiwa Fenty x Puma Avanti Sneaker 

Moja kati ya njia ambazo kwasasa kampuni kubwa zinafanya kupata wateja ni kutumia influencial people kutangaza bidhaa zao, na wengi wao huwa wanakutumia bidhaa bure na unachotakiwa kufanya ni ku-post tu katika mitandao yako ya kijamii kuonyesha bidhaa yao.

Rihanna na Puma wamedrop collection yao ya kwanza under new partnership ya brand hizo na ni sneakers zilizopewa jina La Avanti, Viatu hivi sio vipya katika Kampuni ya Puma bali ni remix ya Iconic Puma Avanti Sneakers, kilicho inspire collection yao hii ni Rihaana na mapenzi yake katika mchezo wa soccer.

Well moja kati ya watu wa kwanza kabisa kupata viatu hivi ni mwanamuziki Davido kutoka Nigeria na kupitia Instagram yake aliwashukuru Puma na Rihanna kwa kumtumia hivi viatu, mpaka hapo ni kwamba ametumika kama Influencer na tunajua unapaswa kuwa mtu wa aina fulani kwa brand kubwa kukuamini na kukupa kitu chao uwatangazie, ukiachana na kutangaza Davido pia ana collaboration collection yake na Puma ambayo ili drop mwaka huu April, Je sisi tutafika lini huku? tuendelee kuwa subra

The designs include a show-stopping metallic leather colorway and a tan/black colorway available in women’s, men’s, kids’ and toddler sizes, Pia vinauzwa kuanzai USD 149 mpaka 269/- yaani Tsh 373,245 mpaka 673,845.

Related posts