Kwasasa kuona watu maarufu wakiwa wamevaa vitu vinavyo fanana si kitu cha ajabu, hakuna kujali fulani amevaa if you like it rock it ili mradi utajaribu kuonekana tofauti kidogo na aliyeanza kukivaa. Well tumeona hii faux fur choker ilikuwa imevaliwa mara ya kwanza na Dayna Nyange & we was okay its different but does it fit? tuka skip lakini tumekuja kuiona tena kwa Nandy we cant let it pass kama tumeiona mara mbili
Dayna yeye alichagua kuvaa all black outfit ambapo alivaaa little fringe black dress yenye urembo mweupe/silver na faux fur choker yake nyeusi kamaliza muonekano wake na accessories na beautiful face beat
Nandy nae alichagua outfit nyeusi ambapo alivaa top nyeusi na pant nyeusi, amemalizia muonekano wake na nude high thigh heels, na fur choker / shawl yake well kwa Nandy hatuna uhakika kama ni chocker au kitambaa kakizungusha but all we know ni kwamba ni fur.
Our views on this is mixed ni kitu kizuri kama kitakuwa styled vizuri lakini pia ni one time thing kama ambavyo Dayna amevaa kwa ajili ya cover ya wimbo wake mpya, inabidi uonekane tofauti hatutegemei kukuta
tuambie je ni slayed or played?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/dayna-nyange-nandy-rocking-faux-fur-choker/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/dayna-nyange-nandy-rocking-faux-fur-choker/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/dayna-nyange-nandy-rocking-faux-fur-choker/ […]