Dayna na Hamisa wameonekana kuwa na macho sawa katika uchaguzi wa mavazi yao, wote wameonekana wakivalia vazi moja ambalo ni crop top nyeupe pamoja na suruali yake, pia nywele zao ziliendana kidogo kasoro rangi tofauti ni viatu ambapo hamisa alivaa vya kufunika wakati Dayna alivaa vya wazi.

Dayna

dyna dyna2

 

Hamisahamisa hamisa2