SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Deconstructed Blazer Are Trending Now
Mitindo

Deconstructed Blazer Are Trending Now 

Moja kati ya trend kubwa iliyoonekana katika fashion week za Africa lakini pia na Ulaya ni deconstructed clothes ambapo mtindo huu ni kwamba nguo ina vurugwa ule muonekanao wake wa kawaida, mfano mkono kutolewa upande mmoja etc. Na kwa sasa mtindo huu una trend in real life, tumeona watu maarufu mbalimbali nje na ndani ya Nchi wakiwa wamevaa fashion hii lakini hasa ikiwa imevaliwa kama Blazer.

Mara ya kwanza tulimuona mbunifu kutoka hapahapa Tanzania Mgece Cici akiwa amevalia hii deconstructed blazer katika tamasha la Swahili Fashion Week 2019, na yeye alimade katika wale waliopendeza zaidi katika usiku huu wa Swahili Fashion Week

Mbunifu huyu alivaa hii blazer kama ndio statement piece huku akimalizia na black pump, statement dropped earrings na no makeup makeup look.

Tumemuona pia fashion influencer kutoka South Africa Vanessa Matsena akiwa amevalia deconstructed blaze na yeye ikiwa na rangi nyeusi, yeye alivalia na biker shorts, akabeba na red Balenciaga min bag aliyo match na lipstick akiwa amemalizia na matrix glasses na mtindo wake wa rasta.

Mwanadada Kourtney Kardashian an yeye pia alionekana in Deconstructed blazer ya kwake yeye ikiwa imekatwa kidogo chini ya nyonyo na yeye alivaa kama suit akiwa amemaliza na sleek hairstyle na nude makeup.

Wakati mwanamitindo Blacchyna yeye alivaa half dress half blazer dress ya rangi nyeupe na nyeusi huku akiwa kamalizia na heels nyeusi.

Well Afromates Yay or Nay for this trend?

Related posts

5 Comments

  1. best marijuana

    … [Trackback]

    […] There you will find 39470 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/deconstructed-blazer-are-trending-now/ […]

  2. mushroom flip flops

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/deconstructed-blazer-are-trending-now/ […]

  3. B+ Magic Mushrooms shop

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/deconstructed-blazer-are-trending-now/ […]

  4. Adult Cams Icon In The Top

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/deconstructed-blazer-are-trending-now/ […]

  5. cablagem informática

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/deconstructed-blazer-are-trending-now/ […]

Comments are closed.