SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Denim Affairs With Paula Majani
Mitindo

Denim Affairs With Paula Majani 

Denim ni vazi ambalo linaweza kuvalika mara nyingi na kwa namna nyingi upendavyo, unaweza kuvaa casual, date, ofisini na kwenye occasion mbalimbali, well ikiwa vazi hili lipo kwa miaka na miaka, wabunifu wamekuwa wakijaribu kuli-modify na kuleta mitindo ya namna tofauti tofauti.

Leo tunakuletea Paula Paul Majani ambae ni a teen tunaemuona anachipukia kwenye mitindo, tumekuletea namna mbalimbali ambazo ame-style denim zake na unaweza kupendezwa nazo na kujaribu weekend hii.

Ripped Denim, kwa Paula ni binti mdogo ambae anapenda kushow off mwili wake, most of the times anavaa mavazi haya na crop tops. Kama ni mpenzi wa crop top then be inspired lakini kama sio mpenzi wa mavazi haya unaweza kuangalia namna ambavyo ame color co-ordinate.

Denim Coat ni moja kati ya pieces hutakiwi kukosa kwenye kabati lako, inaweza kuinua vazi lako kwa kiasi kikubwa, lakini pia ni moja ya piece ambayo unaweza kustyle na kila kitu.

Denim Shorts, zipo kwenye trend kwa sasa, ni perfect piece kwa ajili ya weekend kama unaenda shopping, unaenda beach au hata kwenye night clubs zinafaa sana hasa ukiangalia na hili joto sio friendly ni namna moja wapo ya kupunga hewa.

Well that’s it for this weekend tuambie je wewe huwa unapendelea ku-style vipi mavazi yako ya denim?

Related posts

5 Comments

  1. her comment is here

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-affairs-with-paula-majani/ […]

  2. B+ Magic Mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-affairs-with-paula-majani/ […]

  3. pg slot

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-affairs-with-paula-majani/ […]

  4. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] There you will find 93156 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-affairs-with-paula-majani/ […]

  5. David Bolno and Dr Stacy Pineles

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-affairs-with-paula-majani/ […]

Comments are closed.