Hizi suruali zilivaliwa miaka ya 70-80 na 90 mwanzoni lakini bado zipo zinakuja na kuondoka, lakini inaonekana kwa sasa zina rudi kwa kasi mno na tunadhani kila mmoja wenu ana hitaji suruali ya namna hii kwenye kabati lake kabla hazija isha madukani watu wengi wameonekana kuvaa hii style akiwepo
Doreen Mashika mbunifu kutoka Tanzania ambae ana tokea Zanzibar alionekana kuvalia trend hii yeye aliamua kurudi nyuma zaidi kwa kuvaa suruali hii na blouse, big hair (afro) na wedges.
Mwamamuziki kutoka Nigeria Yemi Alade nae hakua nyuma kupitwa na Trendi yeye alivaa na cutoff shoulders blouse, simple sandals alikua casual ki nyumbani nyumbani
Latest super model Gigi Hadid nae alikua spoted ame vaa flare denim ambayo yeye ni fupi kidogo juu ya mguu na off shoulder crop top, aka pair na pink mtandio, sandals na choker ya pink
ina faa pia kwa wanawake walio katika miaka ya 30, kama Jessica Alba alivyo ivaa ame ongezea na blazer, huge handbag akachagua simple accessories kumalizia muonekano wake.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 15007 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-flare-zinavyo-rudi-kwa-kasi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-flare-zinavyo-rudi-kwa-kasi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-flare-zinavyo-rudi-kwa-kasi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-flare-zinavyo-rudi-kwa-kasi/ […]