SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

DENIM MADNESS
Mitindo

DENIM MADNESS 

Mwaka 2017 ume kuwa mwaka wa Denim kwa sababu every fashionista is rocking them na kikubwa au kizuri zaidi ni kule kuongezewa (spice up) denim, 2017b tumeona the coming back of denim ukianzia mom jeans, wide legs jeans, flayed denim, embroiled denim and so on na kikubwa ni kwamba sio suruali tu bali ma shirt, skirts, jackets, dresses hadi viatu we love the trend kwa sababu kila mtu can afford it.

Lakini huwa wana sema ukimsifia mgema tembo hutia maji, basi ndipo ambapo hii trend ya denim inapo elekea kwa past few weeks kume kuwa na mionekano mipya ya denim ambayo kiukweli mtu wa kawaida ukiivaa watu wataulizana ume ingiwa na wazimu au vipi japo wanapo rock wasanii wakubwa it seem fine

Top Shop walikuja na hizi”Clear Panel Mom Jeans.” ambapo watu wengi walionekana kushangazwa nazo, ni kama distressed jeans lakini zenyewe zime pachikwa hio plastick hapo kwenye magoti, well hatujui nini inspired them kutengeneza hizi jeans

Well our favorite denim brand Levi’s, levi’s wapo tangu na tangu and their jeans ni nzuri mpo guess what? mwaka huu wamefanya collaboration   na brand nyingine ya jeans Vetements na wakaja na idea hii ya jeans ambayo ina zip nyuma you can actual show off your butt ukiifungua pia hatujui nini  kime inspire hii investment labda ni urahisi wa kuigia chooni but ukweli ni kwamba they are killing the denim name

Unaweza kuona hii nayo kutoka kwa Laura Govan who ever thought of this ame wafikiria watu wa chache sana cause most of people duniani hawawezi kuvaa hii nguo

Half Leg Jeans, Haya nani atavaa suruali ambayo ipo nusu? huwa wana zitengeneza kwa ma star tu au kwa one time show off cause hatuwezi ku picture watu njiani wamevaa half leg suruali nguo za ndani zikionekana laini Ryan Destiny did it ni juzi tu hapo kwenye couchella well kapendeza ila nani mwingine ata vaa? we sit and wait kumuona mwingine in these type of jeans

 

 

Je una maoni yapi kuhusu hii trend inapo elekea? tuambie kupitia social networks zetu

Related posts

5 Comments

 1. สมัครบาคาร่า

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-madness/ […]

 2. หมอนวดอิสระ

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-madness/ […]

 3. Click Home

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-madness/ […]

 4. Ventilatoare de acoperis

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-madness/ […]

 5. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-madness/ […]

Leave a Reply