Denim on denim style ime onekana kutrend sana week hii, ambapo watu tofauti tofauti wameonekana ku rock in it, Baadhi ya watu hao walikuwepo Mange Kimambi, Flaviana Matata na Vanessa Mdee kila mtu ameonekana kuvalia kwa style yake na kupendeza mno
Mange yeye alivaa Denim Skiny Jeans na denim shirt ambayo ali chomekea, akavaa nude pumps na kubeba mkoba wa brown. A mother of three alipendeza katika denim on denim casual style
Flaviana Matata yeye na yeye kavaa denim skin jeans denim shirt pia amechomekea tofauti na Mange yeye ame accessories na miwani pia ame vaa heel ankle boots, Flavie looked stylish and chic like that, lakini pia hii picha ni katika photo shoot yake na gazeti la ELLE Indonesia.
Vanessa Mdee, mwenyewe ana kwambia Vee Money if you nasty (in Her Voice) yeye alikua tofauti na wote ame vaa a denim overrall, denim over sized shirt akiwa ameicha wazi showing off what her mama gave her, she kinda went for Aliyah or thug look na miwani yake na banda.
Wasiliana nasi kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-on-denim-inspiration-kutoka-kwa-vee-moneymange-kimambi-na-flaviana/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 44524 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-on-denim-inspiration-kutoka-kwa-vee-moneymange-kimambi-na-flaviana/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-on-denim-inspiration-kutoka-kwa-vee-moneymange-kimambi-na-flaviana/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-on-denim-inspiration-kutoka-kwa-vee-moneymange-kimambi-na-flaviana/ […]