So ilikuwa week iliyo pita ikaja weekend na sasa week mpya lakini ndo kwanza jumatatu na bado tuna ile weekend hangover, weekend iliyo pita imeonekana kuwa a denim weekend maana karibia kila mtu alikuwa on denim na tunajua kabisa you can never go wrong na denim na hawa ni baadhi ya walio tuvutia na mitindo yao ya denim on denim
Fashionista utoka Nigeria Toke Makinwa yeye alichagua denim kila kitu yaani denim shirt,denim trouser na denim viatu unaweza kusema too much ila the way ame pull off the outfit kapendeza sana to look cool katika huu mtoko aliongezea miwani, hereni,saa pete na kipochi (mwanamke mapambo enhe lol)
Boity kutoka South Africa yeye alichagua denim skit na deni over sized shirt kumalizia mtoko wake alivaa lace up heels zilizo endana na mapambo yake aliyo vaa yaani saa mikufu
Khloe Kardashian na yeye alikuwepo na yeye kama Toke alienda na full denim yaani denim shirt, denim trouser na denim shoes kama kawaida hakusahau accessories
Leahute kutoka Tanzania yeye alikuwa beach babe ambapo alivaa Denim short skirt na oversized denim shirt
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-on-denim-took-over-the-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-on-denim-took-over-the-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 82077 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/denim-on-denim-took-over-the-weekend/ […]