SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Designers Kyamirwa & Elisha Red Label Serving Us Muslim Bride Dresses Goals
Habari

Designers Kyamirwa & Elisha Red Label Serving Us Muslim Bride Dresses Goals 

Sote huwa tuna ndoto za namna gani siku tukiolewa/kuoa harusi yetu itakuwa, kila mtu anapenda apendeze ilikufanya kumbukumbu yake ya siku hii kuwa nzuri, kwa upande wa mabibi harusi ndio huwa kazi sana kwa maana utatakiwa kujua kuhusu mavazi, makeup, nywele na vingine vingi. Linapokuja katika swala la mavazi hasa kwa upande wa harusi za kiislam wengi tumezoea kuwaona wakiwa wamevaa ball dress na mitandio au viremba vyao basi wamemaliza lakini tumeona kitu cha tofauti kidogo kutoka kwa wabunifu hawa wawili kutoka Tanzania Kyamirwa na Elisha Red Label ambao wao waliamua kuwapa mabibi harusi wao wa kiislam mermaid dresses

Elisha yeye alichagua a mermaid cape dress kwa bibi harusi wake, ambayo ilikuwa embellished na maua ya rangi ya purple kwa mbali, we love the hijab, simple yet classy

Makeup by @laviemakeup
Photo @benardatilio
Dress @elisha.red.label
Hijab @mssikan

Wakati Kyamirwa yeye alichaguwa off white dess yenye silver kwa mbali, yeye alifanya hii trend  detachable skirt we loved the Simplicity magnificent

MUA @laviemakeup
Photography @benardatilio

Well tumeona ma bibi harusi wamechagua rangi zilizo tulia, mishono  mizuri na bado wakaonekana wamejistiri kama umependa hizi design unaweza kuwatafuta wabunifu kwenye page zao za instagram @kyamirwa & @elisha.red.label 

 

 

 

Related posts

2 Comments

  1. wonka online

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/designers-kyamirwa-elisha-red-label-serving-us-muslim-bride-dresses-goals/ […]

  2. ephedra tea for sale

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/designers-kyamirwa-elisha-red-label-serving-us-muslim-bride-dresses-goals/ […]

Comments are closed.