SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Deyjah Harris In Linda Bezuidenhout Couture Dress
Mitindo

Deyjah Harris In Linda Bezuidenhout Couture Dress 

Imeonekana The Harri’s wameonekana kupenda bidhaa zinazotoka kwa mbunifu kutoka Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Nchi USA. Tunaposema the Harri’s tunamaanisha familia ya rapper Clifford Joseph Harris, Jr. au wengi tunamfahamu kama T.I au TIP.

Mara ya mwisho tuliona mke wa rapper huyu bi. Tameka Dianne “Tiny” HarrisΒ  ambapo alikuwa katika cover ya jarida la upscalemagazine 2017 Holidays issue. Na mwaka huu The Harri’s wametumia tena kazi ya mbunifu huyu ambapo safari hii amemvalisha mtoto wa kike wa T.I Deyjah Harris.

Mbunifu Linda Bezuidenhout Ametuambia Ilikuaje kumvalisha Mke Wa Rapper T.I

Deyjah alivaa red dress kutoka kwa mbunifu Linda katika photoshoot yake ya birthday yake ambapo alikuwa anatimiza miaka 18.

Mtoto huyu wa T.I ambae anafollowers 1.4Milioni na amekuwa followed na watu maarufu mbalimbali katika mtandao wa Instagram alipost picha yake akiwa amevalia gauni hili na watu mbalimbali walionekana kupendezwa na vazi hili.

Tunafurahi kuona mbunifu kutoka Tanzania akivalisha watu wakubwa kama hawa, tunatamani kuona wengine wengi wakipata deals. Let us know your thoughts on the dress.

Related posts