SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz Amebeba Louis Vuitton Keepall bandouliere 50 Monogram Galaxy Yenye Thamani Ya 6,504,250
Mitindo

Diamond Platnumz Amebeba Louis Vuitton Keepall bandouliere 50 Monogram Galaxy Yenye Thamani Ya 6,504,250 

Social network ni njia rahisi ambayo huturahisishia vyombo vya habari kujua watu maarufu wanafanya nini, wanaenda wapi, wamevaa nini nakadhalika, leo kupitia account yake ya instagram tumemuona mwanamuziki Diamond Platnumz akiwa anatoka kuelekea Oman mjini Muscat, na tulicho notice katika outfit yake ni hii  Louis Vuitton Keepall bandouliere 50 Monogram Galaxy,

Louis Vuitton Keepall bandouliere 50 Monogram Galaxy tumeziona katika collection mpya ya Louis Vuitton Pre-collection Spring-Summer 2019, ikiwa chini ya mbunifu  Virgil Abloh, sifa za hii bag ni kuwa imekuwa inspired na Michael Jackson iconic “Anti-Gravity Lean”

Bag hii inakadiriwa kuuzwa Eur 2500 sawa na pesa za kitanzania milioni 6,504,250, well ukitaka kuvaa brands shurti ugharamie

Related posts