SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz & Eddy Kenzo’s New Music Video’s Are Basically Designers Fashion Show
Mitindo

Diamond Platnumz & Eddy Kenzo’s New Music Video’s Are Basically Designers Fashion Show 

Katika barua yetu ya kufunga na kufungua mwaka 2019, tuliandika kuhusu wasanii wanavyo weza kufanya kazi na wabunifu na kufanya kazi zetu zionekane na kusonga mbele zaidi, inaonekana kwa namna moja au nyingine hili swala limeanza kufanyiwa kazi na stylist wameanza kutumia mavazi kutoka kwa wabunifu wa nyumbani katika kazi zao.

Jana msanii Diamond Platnumz ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao the one na kitu tulicho notice ni yeye kutumia mavazi kutoka kwa wabunifu kutoka Tanzania ambapo alitumia mavazi hayo kutoka kwa wabunifu kikisfashion, luckycreations.tz ,houze_tz ,ellyfire na makeke_international, tumependa tulicho kiona.

Gauni hili lilivaliwa na moja ya model katika video hio ambapo vazi hili ni kutoka katika collection ya mbunifu Kiki Zimba ya mwaka 2015.

Lakini pia unaweza kuona print kama hii kutoka katika video hio ambayo inatoka kwa mbunifu Samuel Zebedayo au Houze_tz

Unaweza kuingalia video hio hapa

Wakati pia msanii kutoka Uganda Eddy Kenzo nae alitoa video yake iitwayo‘Signal’, yeye alitumia mavazi kutoka kwa mbunifu  David Tlale’s Spring Summer 18/19 collection iliyoitwa  ‘Azania

Unaweza kuangalia video yake hapa

Tupe maoni yako je unaonaje hii system ya wasanii kutumia mavazi kutoka kwa wabunifu?

Related posts

3 Comments

 1. brians club

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-eddy-kenzos-new-music-videos-are-basically-designers-fashion-show/ […]

 2. Research

  … [Trackback]

  […] There you will find 43104 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-eddy-kenzos-new-music-videos-are-basically-designers-fashion-show/ […]

 3. get More Information

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-eddy-kenzos-new-music-videos-are-basically-designers-fashion-show/ […]

Comments are closed.