SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz, Juma Jux And Harmonize In Durag Trend
Mitindo

Diamond Platnumz, Juma Jux And Harmonize In Durag Trend 

Durag imeanza miaka mingi ambapo ilianza kutumika kama symbol ya black power movement kipindi cha Utumwa. Kwa sasa inatumika kuvaliwa kama urembo ambapo imeonekana kutumika na wasanii wengi maarufu wa Nje na Ndani ya Nchi.

Kwa sasa inaonekana ku-trend Nchini kwetu ambapo baadhi ya wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz, Juma Jux na Harmonize wameonekana kuvalia kitambaa hiki kilichopewa jina la Durag.

Diamond Platnumz imeonekana kwa sasa hii ndio favorite accessory yake kwa maana tumemuona mara kadhaa akiwa ameivalia from white, black, yellow Etc. Itakuwa ana collection ya Durag and we would love to see it.

Harmonize na yeye ameonekana kuvutiwa na trend hii ambapo nae tumemuona mara kadhaa akiwa amevalia na yeye anavyo vitambaa hivi kwa rangi kadhaa kama nyeupe, cheusi na blue.

Wakati mkali wa fashion Juma Jux nae hakuwa nyuma kupitwa na trend hii ambapo yeye tumemuona na za kwake nyekundu na nyeupe.

Well Afromates tuambieni ni yay au nay kwa hii trend?

Related posts

2 Comments

  1. Pineles and Bolno

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-juma-jux-and-harmonize-in-durag-trend/ […]

  2. uniccshop

    … [Trackback]

    […] There you can find 96177 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-juma-jux-and-harmonize-in-durag-trend/ […]

Comments are closed.