Mwanamziki Diamond Platnumz alienda Los Angels kutuwakilisha katika BET Awards ambapo yeye alikuwa moja kati ya Nominees wa Tuzo. Japo Diamond hakuchukua ushindi he surely made a statement katika red carpet ya Tuzo hizo za BET.
Theme ya Tuzo hizi ilikuwa #CultureBiggestNight, kama ambavyo tunajua culture ni utamaduni, Diamond alifika katika red carpet akiwa amevalia kimasai, Yes kama ambavyo tunajua katika kabila kubwa Tanzania ambalo bado linaendeleza utamaduni wake basi ni Masai.
Tumependa kwamba amekuwa tofauti na wengine katika red carpet hii, ikiwa wengi walienda kwakiwa wamevalia modern looks yeye amechagua kuenda straight to the roots. Well #afromates tupe maoni yako kuhusu muonekano huu wa Diamond.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-outfit-at-bet-award-2021/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-outfit-at-bet-award-2021/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-outfit-at-bet-award-2021/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-outfit-at-bet-award-2021/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 24386 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-outfit-at-bet-award-2021/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-outfit-at-bet-award-2021/ […]