SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz Rocking GUCCI Rhyton Sneaker Zenye Thamani Ya 2,064,800
Mitindo

Diamond Platnumz Rocking GUCCI Rhyton Sneaker Zenye Thamani Ya 2,064,800 

Sote tunapenda mwanaume anaejipenda, mwanaume ambae ana gharamikia muonekeno wake. Wanaume wengi huwa wanakumbuka kuweka nywele zao sawa, mavazi sawa bling bling za hapa na pale lakini tatizo huwa linakuja kwenye viatu wanajisahau kabisa na kuvaa viatu ambavyo havieleweki. Japo hili swala limeonekana ni vice versa kwa mwanamuziki Diamond Platnumz he is a full package.

Oh well week iliyopita alipost picha yake katika mtandao wa Instagram akiwa airport, mavazi yake yalikuwa ya kawaida kilichotuvuta kwake ni hivi viatu vya Gucci.

Viatu hivi vinaitwa Rhyton sneaker with mouth print na kwenye blog ya Gucci vinauzwa $890 sawa na fedha za kitanzania 2,064,800/-. Vilikuwa released mwaka jana, Cruise 2019.

Kwa wale ambao mtajiuliza ni kweli alivyovaa vina hiyo thamani au ni fake?

Well GUCCI Rhyton sneaker with mouth print sifa zake ni kwamba

  • White leather treated for a vintage, distressed effect
  • Mouth and Gucci print
  • Debossed Gucci logo at the back sole
  • Men’s
  • Rubber sole
  • 2″ height
  • Made in Italy

Ukiangalia ya mondi inakila kitu tatizo tu ni hio distressed effect (kama uchafu wa gray upo kwenye kiatu) zake ni full white lakini inawezekana pia ni editing za bwana Lukamba zimepoteza uhalisia anyways #afromates let us know your thoughts Og or Fake?

Related posts

3 Comments

  1. Belle Sac

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-rocking-gucci-rhyton-sneaker-zenye-thamani-ya-2064800/ […]

  2. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-rocking-gucci-rhyton-sneaker-zenye-thamani-ya-2064800/ […]

  3. minecraft how to grow mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-rocking-gucci-rhyton-sneaker-zenye-thamani-ya-2064800/ […]

Comments are closed.