SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz Serving Inspiration Through His Shoes
Mitindo

Diamond Platnumz Serving Inspiration Through His Shoes 

Mwanamuziki Diamond Platnumz amepost picha akiwa amevalia viatu aina ya Air Jordan I Mid Fearless ambavyo vilitoka mwaka 2019, viatu hivi vilikuwa collaboration ya kwana ya Nike na mbunifu Melody Ehsani. Melody Ehsani .

Viatu hivi vipo unique kwa namna tatu, ni colorful, vina saa kwenye kamba lakini pia vimeandikwa message ambayo ni “If you knew what you had was rare, you would never waste it.” Well viatu hivi vinauzwa USD 130, sawa na Tsh 301,470/-

Kwa sasa kwenye website ya Nike hivi viatu vipo sold out unaweza kuingia hapa kujua zaidi kuhusu viatu hivi Melody Ehsan Air Jordan

Related posts