Mwanamuziki Diamond Platnumz aliondoka kwenda Los Angeles, kwa ajili ya Tuzo za BET lakini toka aende hajarudi ila kama wasanii wengine amekuwa akitu-update ni nini anachofanya huko amekuwa akipost picha na watu maarufu mbalimbali kama Snoop Dog, Swizz Beatz, Buster Rhymes na wengine wengi.
Kama kawaida yetu sisi huwa tunaangalia ni nini amevaa huko, well Diamond ameonekana katika outfit mbalimbali lakini nyingi zikiwa ni full black outfits, ambapo kikubwa tulichoona kwenye outfit zake ni namna ambavyo ana accessorize outfit zake na mikufu, pete, saa, na kofia lakini pia tumeona ameongeza accessory nyingine ambayo ni coffee cup tumemuona akiwa ameibeba mara nyingi.
Lakini pia tumemuona kwenye mavazi mengine kama velvet suit na colorful two pieces.
Well #afromates tuambie are you feeling his style na his new accessory?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 66282 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-street-style-in-united-states/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-street-style-in-united-states/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/diamond-platnumz-street-style-in-united-states/ […]